HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 58
Lakini kuna baadhi ya wananchi walimsifia sana mwanaume huyo kwamba alikuwa ni miongoni mwa malegendi wa kukumbukwa kwa kutaka kumuua raisi ndani ya ofisi yake hivyo wananchi walichaguliwa cha kuamini nao wakawa wameingia kwenye huo mtego wa mchezesha kamali maarufu Denis Kijazo kwa udanganyifu mkubwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments