HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 60
“Hahahah hahaha namhitaji” mheshimiwa alicheka sana akiwa anasogea kwenye kiti na kukaa
“Lakini hii sio garantii mheshimiwa kwa sababu ni Kamari tu hivyo tunatakiwa kuendelea na mipango mingine tukiwa tunasubiria kama hili litafanikiwa”
“Nalijua hilo na nahitaji nchi hii ilipe gharama zangu zote, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments