Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 65

“Nitawalinda kwa gharama yoyote ile” aliongea akiwa anamuacha mkewe apumzike baada ya kupitiwa na usingizi na ndipo akarudi kwa James.

“Kwa muda gani ulijua kwamba watarudi?”

“Siku mbili”

“Kwanini haukuniambia?”

“Alinisisitiza sana kwamba kama ningekwambia basi asingenisamehe kamwe kwenye maisha yangu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next