Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 68

“Kama ningekuwa sikuamini unahisi ningekutafuta?”

“Umenitafuta kwa sababu unahitaji msaada tu”

“Kweli siku zote nimekuwa baba mbaya sana na huenda nimekuwa mume mbaya sana kwa upande wako ila leo nahitaji uweze kuijua kazi yangu mimi ni ipi maana nimekudanganya kwa miaka mingi sana” …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next