HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 69
Kwenye kumfuatilia kwa undani sana Karistus waligundua kwamba alikuwa amepewa kazi maalumu na Denis Kijazo ya kwenda sehemu kuzibeba nyaraka zake na kisha alitakiwa kuhakikisha anazifikisha zikiwa salama kabisa kwa bosi wake huyo. Mwanaume huyo hakujua nyaraka hizo ni za nini maana alisisitizwa sana kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments