Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 73

"Inapatikana wapi hiyo nyumba?"

"Ipo Masaki"

"Tugawane hapa, watatu waende kuupeleka huu mwili kwa mheshimiwa na wanne tuwahi haraka sana huko Masaki tuone kama tunaweza kuwahi" wanaume walikubaliana kufanya hivyo kwahiyo watatu waliondoka na mwili wa Dax kwenye kumpelekea bosi wao kisha wanne …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next