HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 74
"Sawa bosi" alijibu kiufupi kwa sababu hakutaka kumkera kiongozi wake lakini hata yeye ilionekana kwamba ni taarifa ambayo ilimshtua sana isivyo kawaida kuhusu kifo cha kijana huyo ambaye alitegemea kwamba muda sio mrefu angeungana naye kufanya kazi kwa pamoja. Mwanaume huyo ambaye alikuwa anatisha sana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments