HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 75
Alihesabu hatua tano kurudi nyuma ambapo mwaname huyo alikuwa anamsogelea tu bila hofu, alichomoa visu vyake viwili kiunoni James na kuirusha saa yake ambayo ilikuwa na viwembe pembeni kwa nguvu lakini ilipasuliwa na bisu lililokuwa mkononi mwa Ted. Alisogea kwa nguvu na kurusha ngumi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments