Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)

MTUNZI: FEBIANI BABUYA

EMAIL: [email protected]

WHATSAPP: 0621567672

AGE: 18+

Episode 77

"Whaaat? Unataka kuiteka Ikulu?"

"Yes, sijakurupuka kuhusu hili. Kuna watu ambao nimewashawishi pale pale Ikulu baada ya kuwahakikishia kwamba raisi anaenda kufa na kama wakichagua upande wake basi akifa wataishi maisha magumu sana lakini pia nimewaahidi kiasi kikubwa sana cha pesa kazi hii ikiisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next