HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 79
"Mume wangu hata siku moja aliwahi kuwaza kurudi nyumbani?"
"Hiyo ndiyo ilikuwa ndoto yake kubwa kila siku akilala na kuamka ila alipanga kufanya hivyo mambo haya yakiisha yote kwa sababu maadui zetu wanapenda kuzitumia familia kama udhaifu mkubwa hivyo kama angekuwa anakutana na nyie …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments