HADITHI: JIJI LA KAMARI (GAMBLING CITY)
MTUNZI: FEBIANI BABUYA
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP: 0621567672
AGE: 18+
Episode 81
"We mjinga umepitaje na mwili huu mpaka huku? ebu utoe haraka sana kwa sababu nitakufanyia jambo baya ambalo haujawahi kulifikiria kabisa kwenye maisha yako yote. Unakuja kumtisha raisi wa nchi Ikulu kwa sababu tu ni mkurugenzi wa shirika la kijasusi, nafasi ambayo naweza kukutoa muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments