HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA SABA
Timotheo Ganze alikuwa amerejea kutoka Dodoma, kurejea kwake kulitokana na sababu ya kwamba kazi ambayo alitakiwa kwenda kuifanya huko ilikuwa imeisha lakini hakuwa na furaha. Hakuwa na furaha kwa sababu yaliibuka mambo mengine ambayo huenda kwa wakati kama huo bado hakuwa ameyatarajia kama yanaweza kutokea.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments