HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Nakumbuka ulikuwa ni usiku wa saa sita kasoro wakati naelekea kufunga, siku ile sikuwa nimepanga kulala hapa kwa sababu tayari nilikuwa nimepanga chumba maeneo ya Kimara, nilikuwa nimepanga mbali ili kidogo asije akatokea mtu yeyote akatambua kazi yangu. Siku ile nikiwa nawaza kufanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments