HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA KUMI NA SITA
Baada ya tukio lile, bwana yule alisogelea kabisa mpaka kwenye gari ya mwisho ambapo aliinama na kugusa chini ya gari japo haikuonekana kwamba aliweka nini ila mle ndani kila mtu alielewa jambo ambalo lilikuwa linaendelea pale. Muda mfupi baadae bwana yule hakukaa lile …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments