Mlango wa majini
Bwana mmoja kati ya lile kundi , aliekuwa na macho yaliosinyaa lakini yaliojaa ujasiri aliongea;
“Master Hamza, mimi nitachagua namba moja”
Yule mwingine ambae aliuliza swali aliishia kubakia kimya pekee, ilionekana dhahiri Hamza hakuwa na mpango wa kutaja ni machaguo gani mtu anapaswa kuchagua bali alitoa muhtasari tu wa kila chaguo litakavyokuwa , hivyo ilikuwa ni kubahatisha ni chaguo gani unataka kuchagua.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments