HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA ISHIRINI NA NNE
Ukifikia hiyo hatua basi unahisi kila jambo ambalo unalifanya ni sahihi kwako, nilipambana mpaka kuja kuipata nafasi kama hii ambayo kwa taifa letu hakuna mwanamke aliwahi kuipata kabla. Ni kweli ilinipa umaarufu mkubwa, ilinipa jina, ikanipa heshima na ikanipa pesa za kutupa lakini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments