HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA ISHIRINI NA SABA
“Hapo ndipo yanazaliwa maswali ambayo hata majibu yake kuyapata inakuwa ngumu kwangu”
“Huyo malaya alikuwa ni mgeni hapa?”
“Hata hajulikani ni yupi ambaye wanamtaja maana mpaka sasa bado hakuna taarifa kamili ambayo imetoka”
“Sasa limetokea jambo la kutisha kama hili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments