Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: SIKU ZA MWISHO

MWANDISHI: FEBIANI BABUYA

WhatsApp: +255621567672

Email: [email protected]

UMRI: 18+

SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI

Haikuwa nyumba kubwa ila ilivutia, ilifaa kwa mtoto wa kike kukaa yale maisha ya kawaida ya kumpa uhakika wa kuwaza mambo makubwa. Alitembea akiwa anazidi kupata hofu, mwili wake ulikuwa unasisimka kiasi kwamba alihisi mazingira hayo yalikuwa na uwepo wa mtu mwingine ambaye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next