SURA YA TATU:
Basi la Kilimanjaro Express lilizidi kuchanja barabara, likikatiza milima na mabonde kama simba anayefukuzia windo lake. Juma alikaa kwenye siti ya dirishani, mkono mmoja ukishikilia mkoba wake mdogo, mwingine ukibana picha ya Hadija aliyokuwa amechora mwenyewe kwa mkono.
Moyo wake ulikuwa unadunda kwa kasi ya injini ya basi, macho yake yakitazama mandhari ya nje bila kuona chochote …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments