HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
“Kuendelea kunishikilia hili eneo sidhani kama ni jambo lenye afya zaidi kwako kwa sababu kama ungekuwa unatambua kwamba mimi ni nani, natokea wapi na nafanya nini kwenye maisha yangu basi amini kwamba ulitakiwa kuniachia kabla ya mimi kuitambua sura yako’’ aliongea kwa kujiamini …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments