HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
“Bosi kuna habari mbaya zimetufikia hivi sasa” ile sauti haikuwa ngeni kwake, ilikuwa ni sauti ya moja ya vijana wake ambao alikuwa anawaamini sana, Mabanzi umri ukiwa unazidi kwenda mbele kwa mwanaume huyo.
“Mama yupo salama?”
“Ndiyo bosi”
“Andaa helikopita saivi tunaenda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments