Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

HADITHI: SIKU ZA MWISHO
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WhatsApp: +255621567672
Email: [email protected]
UMRI: 18+

SEHEMU YA AROBAINI
“Sasa nani alijua kwamba yupo huko mpaka akafanikiwa kumuua?”
“Mpaka sasa bado sijajua bosi”
“Amekutwa kwenye mazingira gani?”

“Alitupwa kwenye mtaro barabarani”
“Kwamba kila mtu alitakiwa kumuona?”
“Nadhani ndilo lilikuwa lengo la muuaji”
“Kwa maana hiyo ni kwamba alikuwa anatuma ni ujumbe kwetu?”

“Ndiyo bosi”
“Wakati Luna anaondoka mama alikuwa wapi?”
“Kyela”

“Umefanya jambo zuri kuondoka kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next