Karimu alipigika mpaka kufikia hali hakuwa akitamanika . Mwanamke aliekuwa ndani ya gari alijikuta akishikwa na woga kiasi kwamba hakupata hata muda wa kupiga simu polisi , akiogopa anaweza kuchangiwa na yeye.
Baada ya dakika mbili za kichapo, Karim sura yake ilikuwa imemvimba na aliona angekufa kama asingeomba kuachiwa.
“Tafadhari niacheni , naombeni mniache , nisameheni …”
Hamza mara baada ya kuona anapiga makelele alimpiga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments