SEHEMU YA 269
HUSBAND
Mara baada ya kuona vijana hao namna walivyokakamaa miili huku wakiwa na hali ya woga aliishia kuwaangalia kwa macho ya kejeli.
“Prince Sebastian ametoa maagizo hakuna kuondoka kwasababu tayari mmekwisha kufika , lazima mtimize miezi yote miwili hapa. Kama mnataka kuondoka lazima mpitie matabaka yote kumi na nane na kupitia tabaka la chini unaweza kuondoka. Kwa kuwatahadharisha yoyote ambae atajaribu kutoroka …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments