SEHEMU YA 270
Tulale wote leo
“Unacheka nini sasa?”Aliongea Regina huku akivimbisha mashavu.
Hamza aliishia kunyoosha mkono wake na kumshika Regina shavu kwa namna ya kuminya.
“Sasa hivi tu umesema hutaki kuwa na watoto na mimi lakini ulivyokuwa ukipanga mtoto wa kike na wa kiume watakavyokuwa , naona kabisa unataka kuwa na watoto na mimi , si ndio?”
“Ah! Mume wangu , kwanini upo hivyo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments