Upuuzi wa jambo au kitu fulani kiwe kidogo au kikubwa siku zote matokeo yake huwa ni hasara
Kupuuza jambo ni kutotaka kujifunza na kuujua ukweli!/siri zilizopo, ni sawa kuujipofusha na mwisho wa siku ni hasara, Historia imetuonyesha jinsi upuuzi/ujinga ulivyosababisha vita, mateso na kadhalika. Yote hayo ni kwa kujitakia
Na hiki ndicho Jimmy anachokwenda kukifanya
Sorcerer kwa lugha yetu ya kibongo tunaita mchawi mkuu, Sorcerer ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments