MIMI NA MIMI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Inashangaza kidogo, eh? Ndiyo. Huyu jamaa aliyekuwa kwenye dili la kununua shamba la Mariam kupitia wawakilishi wake waliompata Joshua kama dalali, alikuwa ni mzee wangu. Ni kitu ambacho sikuwa nimetarajia kabisa mpaka Joshua alipotaja jina lake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments