Baada ya sehemu niliyokuwa nimesimama kufunguka na kamba iliyokuwa imelegea shingoni mwangu ilikaza baada ya uzito wangu wa mwili wote kuegemea kamba ile kupitia shingo yangu. Giza totoro lililoshuka juu ya macho yangu nilipofikia mwisho wa kamba ile ya kunyongea lilikuwa la muda mfupi tu.
Ninakumbuka kwa uwazi kabisa pumzi ya ghafla, ya kukata tamaa, niliyovuta kwa nguvu mno, kana kwamba maisha yangu yote yalitegemea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments