Hatimaye, alipofika mahali pa kutisha ambapo wafu walikuwa wametupwa, Michael alitetemeka kwa hofu. Mwili wake ukapata ubaridi kila alipoyaangalia maiti zilizozagaa ovyoovyo, zikiwa zimeachwa na waliowatupa kana kwamba hawakuwa na thamani yoyote.
Alishikilia leso juu ya pua na mdomo wake, lakini hata hivyo, harufu ya mauti ilimwingia tumboni, ikimfanya ajisikie kutapika. Na si harufu tu, hata hali ya maambukizi ya ugonjwa ulionekana kuning’inia angani, kana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments