INVISIBLE
A Story by Elton Tonny
Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Unyanyasaji, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA TISA
★★★★★★★★★★★
Tulikaa kama dakika zaidi ya thelathini hapo chini, na sasa alikuwa akilia kwa sauti ya chini kwa kwikwi zilizosikika kwa mbali. Nikamsogeza kidogo ili tunyanyuke, lakini hakuonyesha mwitikio wowote. Hivyo nikamnyanyua, akiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments