Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

INVISIBLE

A Story by Elton Tonny

Kazi, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Unyanyasaji, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA KUMI

★★★★★★★★★★★


Nikiwa naelewa alikuwa anaota ndoto mbaya sana, nikaongeza bidii ya kumwamsha haraka. Akanyanyuka ghafla huku akitetemeka na kugeuza kichwa huku na kule. Nafikiri kwa kuwa kulikuwa na giza bado, hakuamini kama alikuwa ameshaamka, hivyo akawa anajaribu kunisukuma kwa kuogopa.

"Nusrat... hey... its …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next