INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KWANZA
★★★★★★★★★★★★
"... ni baada ya kufikishwa mahakamani Jumatano na kusomewa mashtaka. Kutokana na ushahidi wa wazi uliofikishwa kwa hakimu, Kamishna wa Jeshi la Polisi alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa sababu ya makosa ya jinai ya mauaji, na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments