INVISIBLE 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Mahaba, Usaliti, Unyanyasaji, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA PILI
★★★★★★★★★★★★
Nilitoka eneo hilo na kuanza kurudi upande wa supermarket. Bado nilikuwa sionekani, na niligeuka nyuma mara kwa mara kuangalia ikiwa mzungu yule angeonekana tena. Sikumwona tena eneo hilo mpaka nilipofika kwenye gari, kisha nikafungua mlango haraka na kuingia. …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments