Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

Macho yalikuwa ni mengi sana yakiangalia upande wa meza waliyokaa Jimmy na wanafamilia wake.

Jimmy aliupamba uso wake kwa tabasamu na kusimama akielekea mbele alikoitwa akisindikizwa na macho ya wengi kana kwamba ni supa staa kumbe ni mshikaji mmoja tu ambaye bahati humuangukia mara kwa mara

Mbeleni kulikuwa ni kijukwaa kidogo ambacho Cid alisimama, Jimmy alipomkaribia alikumbatiana nae kishkaji kwa bega moja na kabla hajaachia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next