SEHEMU YA 271.
Shemeji
Regina jicho lililikuwa limemlegea na aliishia kutingisha kichwa tu kukubali ombi la Hamza kulala nae.
Hamza mara baada ya kukubaliwa alijikuta akifurahi mno na haraka haraka alisukuma mlango na ile anaingia tu aliweza kusikia
“Ding Dong!”
Ilikuwa ni sauti ya kengele ikiashiria kuna mtu getini aliekuwa akibonyeza.
Kwa kengele hio ilikuwa ni kama walikuwa wamemwagiwa ndoo ya maji ya baridi. Ghafla …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments