Reader Settings

SEHEMU YA 272.

Bahasha

Regina mara baada ya kumuona Hamza akiingia kwenye ofisi yake, ilikuwa ni rahisi tu kuotea hisia zake zilivyo , hakuwa na mwonekano mzuri kabisa.

“Kuna tatizo?”Aliuliza Regina kwa sauti kavu.

Hamza upande wake aliishia kuweka tabasamu kwenye uso wake la maana ili angalau kuonewa huruma kidogo.

“Wife sijategemea kuona upo vizuri kibiashara , mpaka kupata mashabiki na watu wanaokukubali kila mahali. …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next