Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MIMI NA MIMI 2

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA KUMI NA TANO

★★★★★★★★★★★★★★★★★


Baada ya Miryam kwenda tu ofisini kwake na kujifungia, nikageuka zangu na kuanza kuondoka hapo ili nirudi tu Mzinga. Ingawa nilikuwa nimetoka kumfunulia mwanamke niliyempenda hisia zangu, bado nilikuwa na mtihani kwake wa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next