MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI
★★★★★★★★★★★★★★
Asubuhi ya siku ya Jumapili ikawa imefika. Nilikuja pamoja na Tesha, Ankia, na Shadya hapa hiyo jana baada ya kuondoka kwake Miryam, na nililala pamoja na jamaa chumbani kwangu. Nilipoamka kwenye mida ya saa mbili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments