MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kwa hiyo baada ya kuwa nimepewa somo na wazazi kuhusu kuwa mzazi, nikaenda kwenye chumba chenye TV huko huko juu ili kujiunga na wakina Tesha. Kulikuwa na TV kubwa kinoma humo, sabufa nzuri na spika …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments