MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Tesha na Miryam wakafika nyuma yangu, naye Miryam akatoa sauti ndogo kuonyesha mshtuko, huku Tesha akinionyeshea upande ambao nyoka yule alielekea ili kumwonyesha kwangu. Inaonekana kelele alizopiga Soraya zilifanya baadhi ya watu waliokuwa sehemu za …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments