MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Nimekuja kuamshwa na Ankia kukiwa kumeshakucha, na kiukweli niliweza kuhisi namna gani hali ya mwili wangu ilivyozidi kuwa mbaya. Kichwa kiliuma, nilihisi kichefuchefu kizito, na mikono haikuwa na nguvu za kutosha. Koo ilisugua vibaya mno …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments