MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA MOJA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Nimekuja kushtuka ikiwa bado ni usiku, na tena nikisema kushtuka namaanisha kushtushwa baada ya kupatwa na njozi isiyo nzuri. Yaani niliota niko mahala fulani pamoja na Miryam, halafu ghafla tukavamiwa na watu waliokuwa wamevalia manguo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments