MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Rukia akaja mpaka karibu nami na kunishika mgongoni, naye akasema, "Acha kudengua bwana... I know you want it."
Nikaingiwa na hasira kali na kuushika mkono wake kwa nguvu, halafu nikamgeukia huku nikiupindishia pembeni. Akatoa sauti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments