MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TATU
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Baada ya Miryam kuondoka, Ankia akawa amekuja chumbani kwangu. Aliweza kuhisi kwamba kuna jambo halikuwa sawa maana akaniambia kwamba Miryam aliondoka tu bila kumwambia lolote, au kuaga, na alionekana kama ana huzuni. Akaniuliza ikiwa kulitokea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments