MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA NNE
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Niliendelea kukaa tu hapo sebuleni kwa dakika kadhaa zaidi baada ya Mariam kuwa ameondoka, na bado kilichokuwa kimetokea baina yangu mimi na yeye kiliisumbua sana nafsi yangu. Yaani nilikuwa nimekaribia kuruhusu mwili wangu uache tamaa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments