MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TANO
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Huyo Beatha akawa ametokomea upande mwingine wa barabara, na hata yeye alikuwa na ule uzuri uliofanya atazamwe na wanaume kwa macho yenye tamaa, lakini mimi nilimwona kuwa kama kamtu kalikohitaji kudhibitiwa upesi ikiwa kangeleta kiherehere …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments