MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA SABA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Tumesimama hapo kwa sekunde chache tu baada ya kubonyeza 'ding dong,' nao mlango ukawa umefunguliwa. Mbele yetu alisimama Nuru ndani ya tracksuit nyepesi yenye rangi ya pink na mandala manene ya manyoya miguuni, akiwa amefungua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments