Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

MIMI NA MIMI 2

A Story by Elton Tonny

Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa

R-rated 18+

Enjoy!


★★★★★★★★★★★★★★★★★★★

SEHEMU YA THELATHINI NA NANE

★★★★★★★★★★★★★★★★★★★


Asubuhi ya Jumatano ikawadia. Nilijikuta nawahi kuamka mapema sana, kukiwa na kale kabaridi katamu ka asubuhi, na ni joto la mwili wa mpenzi wangu ndiyo lililokuwa likinituliza zaidi. Nililala kwa kuukumbatia mwili wa Miryam kutokea …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next