MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Tamaa, Hila, Usaliti, Siri, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA THELATHINI NA TISA
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Salumu alinisindikiza mpaka barabarani nilipopanda daladala kuelekea stendi ya Makumbusho, na baada tu ya kuingia humo na kukaa, nikachukua simu na kumpigia Adelina upesi. Nilikuwa nimeweka mambo haya pembeni kidogo kwa ajili ya kutumia muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments