MIMI NA MIMI 2
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA AROBAINI
★★★★★★★★★★★★★★
Niliendelea kukaa tu chumbani kwangu nikiwa nasubiri lolote lile kutoka upande wake Miryam, yaani anipigie au labda anitumie ujumbe, lakini haikuwa hivyo mpaka inaingia mida ya saa mbili usiku. Niliweza kusikia gari lake likitoa mvumo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments